Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyricshome Song Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics

Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics. Msalaba ndio asili ya mema Nikatua mzigo hapo Nina uzima furaha daima Njoni kafurahini papo Kama kiti chake vivyo Ni yake ahadi Alivyowekewa navyo Kamwe havirudi.

Msalaba Ndio Asili Ya Mema Lyrics

Sioni haya kwa BwanaKwake nitang’ara!Mti wake sitakanaNi neno imara

Msalaba ndio asili ya memaNikatua mzigo hapo;Nina uzima furaha daimaNjoni kafurahini papo

Kama kiti chake vivyoNi yake ahadi;Alivyowekewa navyoKamwe havirudi

Bwana wangu tena MunguNdilo lake jina!Hataacha roho yanguWala kunikana

Atakiri langu jinaMbele za BabayeAnipe pahali tenaMbinguni nikae

An Art Gallery Could Never Be As Unique As You Lyrics

RelatedVisit Magao Magazine for more lyrics.

Leave a Reply

Your email address will not be published.