Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics


Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics By Reuben Kigame, Sifa Voices. Tunaomba uwepo wako uende nasi Ewe bwana wa majeshi tusikie Kama uendi nasi hatutaki kutoka hapa Hatuwezi peke yetu enda nasi Tu watu wa shingo ngumu tusamehe Hatufai mbele zako turehemu.

Tunaomba Uwepo Wako Uende Nasi Lyrics

Tunaomba uwepo wako uende nasiEwe bwana wa majeshi tusikieKama uendi nasi hatutaki kutoka hapaHatuwezi peke yetu enda nasi

Tu watu wa shingo ngumu tusameheHatufai mbele zako turehemuTusafishe baba tuonyeshe uso wakoTwahitaji neema yako enda nasi

Tutavua mapambo yetuVitu vyote vya dhamani kwetuMioyo yetu twaleta mbele zakoTutakase na utembee nasi

Tunaomba utuonyeshe njia zako Kwa maan umetuita kwa jina lakoTwalilia e bwana utukufu na uso wakoBila wewe tutashindwa enda nasi

Tutavua mapambo yetuVitu vyote vya dhamani kwetuMioyo yetu twaleta mbele zakoTutakase na utembee nasi

Ndugu na dada yangu tafadhali usijaribu kuyamudu maisha bila yake bwana utashindwaYafaa tufike mahali ambapo musa alimlilia bwana na kutafuta uso wakeNa kusema bwana tafadhali enda nasi enda nasi twakuhitaji.

Tutavua mapambo yetuVitu vyote vya dhamani kwetuMioyo yetu twaleta mbele zakoTutakase na utembee nasi X2

Mioyo yetu twaleta mbele zakoTutakase na utembee nasi X2

Sigma Male Rules Song Lyrics

RelatedVisit Magao Magazine for more lyrics.

Leave a Reply

Your email address will not be published.